Ni huduma ya kusafirisha na kusambaza nyaraka na vipeto muhimu kwa haraka na usalama ndani na nje ya nchi kwa malipo yanayowezesha kufikishwa hadi nyumbani.
Serikali imeanzisha vituo vya huduma pamoja ndani ya ofisi za Posta ili kuboresha utoaji wa huduma za Serikali kwa kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano.
Kwa bei nafuu sana Posta inakufikishia barua, nyaraka na vifurushi kutoka popote pale ulimwenguni mpaka mlangoni kwako
Huduma ya sandukua inakupa sehemu salama na ya kudumu ya kupokea barua na nyaraka zako muhimu bila wasiwasi wa kupotea au kuchelewa. Ni suluhisho rahisi, salama na linalofaa kwa watu binafsi na biashara zinazohitaji uhakika wa mawasiliano.
Tunakusafirishia mizigo yenye uzito mkubwa zaidi ya kilogram 30 au yenye umbo lisiloweza kufungwa kama kifurushi na kutumwa
Tunakufikishia barua, nyaraka na vifurushi kutoka ndani na nje ya nchi mpaka mlangni kwako.
LIPIA ADA YA SANDUKU LAKO LA POSTA
Jihudumie sasa kupitia App yetu ya Posta Kiganjani.
Mar 21, 2025
HONGERA
Uongozi na Shirika la Posta Tanzania tunaungana na Watanzania wote kumpongeza Rais wa Jamhuri ya M…
Mar 20, 2025
LIPIA ADA YA SANDUKU LAKO LA POSTA
Lipia Sanduku lako la Posta ili kuepuka usumbufu.
Mwisho wa kulipia ni TAREHE 31 Machi, 2025.
Mar 10, 2025
HERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Tunawasherehekea wanawake wote kwa juhudi zao, ubunifu, na michango yao katika jamii na dunia nzima.
Ofisi ya Postamasta Mkuu Posta House 7 Mtaa wa Ghana, S.L.P 9551 11300, Dar es Salaam Telegramu: POSTGEN Nukushi: (022) 2113081 Namba ya Simu: +255735008008 Barua Pepe: pmg@posta.co.tz Tovuti: www.posta.co.tz