Shirika la Posta Tanzania na Benki ya NBC leo tarehe 18 Septemba, 2019, wamesaini mkataba wa kibiashara utakaowezesha kutoa huduma za kibenki kupitia matawi ya Shirika la Posta Tanzania.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na maofisa wa Shirika la Posta Tanzania, anaemfuatia (kushoto) ni Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Ndugu Hassan Mwang'ombe.
Shirika la Posta Tanzania mwaka huu wamenyakua Tuzo ya Mshindi wa kwanza katika kipengele cha BEST LOGISTICS AND TRASPORTATION EXHIBITOR iliyofanyika katika maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba 2019 
Page 2 of 3
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!