TAARIFA YA PONGEZI

TAARIFA YA PONGEZI

Shirika la Posta Tanzania linatoa pongezi za dhati kwa aliyekuwa Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara za Shirika la Posta Tanzania (General Manager Bussines Operations), Bi. Mwanaisha Ali Said kwa kuteuliwa kwake na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi kushika nyadhifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar. Uteuzi huo ulifanyaika tarehe 31 May 2021.

 

IMG 20210605 WA0003

 

 

 

 

MALIPO YA SANDUKU LA BARUA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LINAPENDA KUWAKUMBUSHA WAMILIKI WA MASANDUKU NA MIFUKO YA KUPOKELEA BARUA KUWA, WANATAKIWA KULIPA ADA ZAO MAPEMA NA

Read more ...

TAADHARI YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA

Moja ya sampuli ya vipimo vya Corona(COVID-19) ikionesha (Negative), mtu huyu aliepimwa hakuwa maambukizi ya virusi hivyo.

Read more ...
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!