TANGAZO LA UHAKIKI WA WASTAAFU WA LILILOKUWA SHIRIKA LA POSTA NA SIMU LA AFRIKA MASHARIKI.

TANGAZO LA UHAKIKI WA WASTAAFU WA LILILOKUWA SHIRIKA LA POSTA NA SIMU LA AFRIKA MASHARIKI.

 Shirika la Posta Tanzania linawafahamisha wastaafu wote wa lililokuwa Shirika la Posta na Simu la Afrika Mashariki ambao wanalipwa pensheni zao kupitia Shirika la Posta Tanzania kuwa tarehe O1 Oktoba, 2020 kwa mara nyingine litaanza kufanya uhakiki kwa wastaafu hao. Uhakiki huo utafikia ukomo tarehe 31 Disemba 2020.

Uhakiki utafanywa kwenye ofisi zote kuu za Posta mikoani na ofisi ya Rasilimali Watu iliyoko kwenye makao makuu ya Shirika la Posta mtaa wa ghana, Jijini Dar es salaam.

Shirika linawasisitiza wastaafu hao kuhakikisha wanahakikiwa ndani ya muda uliopangwa.EiltGE9WoAEc4GB

Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!