Tanzania Census 2022

MALIPO YA SANDUKU LA BARUA

KUTOA TAARIFA SAHIHI ZA ANUANI ZA KIJIOGRAFIA, BARUA PEPE NA NAMBA ZA SIMU ILI KUONGEZA  KASI YA USAMBAZAJI WA BARUA, NYARAKA NA VIFURUSHI VYAO.

MMILIKI WA SANDUKU AFIKE KATIKA OFISI YA POSTA ILIYO KARIBU NAE AU AWASILIANE NASI KWA BARUA PEPE This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. AU KWA KUPIGA SIMU NAMBA 0738 070 701 // 0718 900 700 KWA MAELEZO NA MSAADA ZAIDI.

TUNASHUKURU KWA KUTUAMINI NA KUENDELEA KUTUMIA HUDUMA ZA SHIRIKA LA POSTA.

POSTA TWE'NZETU!!


IMETOLEWA NA:
OFISI YA MAWASILIANO
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!