TAARIFA YA PONGEZI
TAARIFA YA PONGEZI
Shirika la Posta Tanzania linatoa pongezi za dhati kwa aliyekuwa Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara za Shirika la Posta Tanzania (General Manager Bussines Operations), Bi. Mwanaisha Ali Said kwa kuteuliwa kwake na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi kushika nyadhifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar. Uteuzi huo ulifanyaika tarehe 31 May 2021.