Zoezi la kutambua Anwani za Makazi

Ndugu Mwananchi,

Zoezi la kutambua Anwani za Makazi linaendelea nchi nzima. Shirikiana na Viongozi wa Serikali ya Mtaa wako kutambua na kuweka Jina la Mtaa wako, namba ya Nyumba na Postikodi ya Kata yako kabla ya Mei 2022.
Tambua Postikodi yako kwa kutumia moja kati ya njia zifuatazo:
1. Piga *152*00# kisha fuata maelekezo
2. Pakua programu ya NAPA kutoka Play Store
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!