‼️SHINDANO❗️SHINDANO‼️

‼️SHINDANO❗️SHINDANO‼️

IMG 20220919 WA0001

Shiriki katika Shindano la;

(i) Uandishi wa Barua kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wenye umri usiozidi miaka 18

(ii) Uandishi wa Insha kwa makundi mbali mbali wakiwemo wachumi, Wasanii, Wanamichezo, Wanamazingira na Wafanyabiashara

(iii) Uandishi wa Makala kwa Wanahabari

(iv) Ubunifu wa Graphics

(v) Wabunifu bora katika matumizi ya TEHAMA.

Shiriki ujipatie zawadi nono.

Posta tupo Kivingine.

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!