Shirika la Posta Tanzania linapenda kuwataarifu wateja wake na wananchi kwa ujumla kuwa wafuatao ni washindi wa shindano la 48 la kimataifa la uandishi wa barua
Shirika la Posta Tanzania na Benki ya NBC leo tarehe 18 Septemba, 2019, wamesaini mkataba wa kibiashara utakaowezesha kutoa huduma za kibenki kupitia matawi ya Shirika la Posta Tanzania.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na maofisa wa Shirika la Posta Tanzania, anaemfuatia (kushoto) ni Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Ndugu Hassan Mwang'ombe.
Page 2 of 3
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!