Shirika la Posta Tanzania mwaka huu wamenyakua Tuzo ya Mshindi wa kwanza katika kipengele cha BEST LOGISTICS AND TRASPORTATION EXHIBITOR iliyofanyika katika maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba 2019 
Posta Masta mkuu Hassan Mwang’ombe akiwa na meneja mkuu wa uendeshaji biashara Mwanaisha Said na Meneja mkuu Rasilimali za shirika Macrice Mbodo wakizungumzia juu ya uanzishwaji wa maduka ya kubadilishia fedha ya Shirika la Posta Tanzania.
Hatimae Shirika la Posta Tanzania limeweza kupata Postamasta Mkuu baada ya nafasi hiyo kukaimiwa kwa muda mrefu tangu aliyekuwa Postamasta mkuu wa pili tangu Shirika la Posta Tanzania kuanzishwa mwaka 1994, Bw.Hamisi Mndeme ambae amestaafu mwaka jana.
Page 3 of 3
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!