SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LIMEINGIA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA NA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ)

Aidha, kupitia makubaliano hayo huduma za PBZ zitapatikana ofisi za Shirika la Posta. Huduma hizo ni kufungua Akaunti, kutoa,kuweka na kutuma pesa kwenye akaunti, na kuuliza salio