HONGERA MAMA SAMIA

 

Shirika la Posta Tanzania linatoa pongezi kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuapishwa kwake rasmi kuwa Rais wa Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunakutakia mafanikio katika kuliongoza Taifa.

 

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

MUNGU IBARIKI AFRIKA!

 

IMG 20210319 WA0013

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Akikagua gwaride baada ya kuapishwa kwake kushika nafasi hiyo tarehe19 Machi 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!