HONGERA DKT. PHILIP MPANGO

filip Mpango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango.

 

Shirika la Posta Tanzania, linatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Dkt Philip Mpango kwa kuteuliwa na kuidhinishwa kwake kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunakutakia mafanikio katika utendaji kazi na uongozi katika Taifa hili.

 

MUNGU IBARIKI AFRIKA!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

 

Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!