BADO SIKU NNE!!!!

 

 
 IMG 20210902 WA0006
 

Kaimu PostaMasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo anawakaribisha wote kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA (ONE STOP SERVICE CENTRES) Utakaofanyika tarehe O6/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya Posta kuu, jijini Dar es Salaam.

 

 

 
BADO SIKU NNE!! USIKUBALI KUPITWA!!
 
POSTA LET'S GO!!
 
POSTA TWENZETU!!
 
TWENZETU GIDIJITALI!!! 
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!