KATIBU MKUU MPYA WA PAPU AANZA KAZI

KATIBU MKUU MPYA WA PAPU AANZA KAZI.

 IMG 20210902 WA0021

Katibu Mkuu anayemaliza muda wake wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Ndugu, Younous Djibrine (kushoto) akibadilishana nyaraka Wakati wa Makabidhiano ya ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya wa PAPU Ndugu, Sifundo Chief Moyo(kulia) kwenye Ofisi za PAPU, Arusha, Tarehe 1 Septemba 2021


Na Mwandishi Wetu,

Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Ndugu Macrice Daniel Mbodo, amehudhuria hafla ya makabidhiano ya Ofisi kwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Posta Duniani(PAPU) tarehe 1 Septemba 2021 Jijini Arusha, Tanzania.

Makabidhiano hayo yamefuata baada ya uchaguzi wa viongozi wa Umoja huo, uliofanyika mnamo june 2021, Nchini Zimbabwe. Ambapo pamoja na mambo mengine  PAPU alifanya Uchaguzi wa Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu ambao watahudumu katika nafasi hizo kwa kipindi cha miaka minne.

Katika Uchaguzi huo Ndugu Sifundo Chief Moyo kutoka Nchini Zimbabwe, aliibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha nafasi ya Katibu Mkuu wa PAPU,  huku Bi. Jesca Uwera Sengooba kutoka Uganda akiibuka kidedea katika nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa PAPU.

 

 

 

Zifuatazo ni Picha mbalimbali za tukio hilo:

IMG 20210902 WA0096

Katibu Mkuu Mpya, wa PAPU, Ndugu Sifundo Chief Moyo akizungumza  jambo wakati wa Hafla hiyo.

 

 

 IMG 20210902 WA0084

Naibu Katibu Mkuu Mpya wa PAPU Bi. Jessca Uwera Sengooba, akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo.

 

 

 IMG 20210902 WA0016

 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb)(kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu anayemaliza muda wake, wa Umoja ya Posta Afrika, (PAPU) Ndugu  Younous Djibrine (kulia) wakati wa tukio la makabidhiano ya Ofisi za Umoja huo, Jijini Arusha Tanzania.

 

IMG 20210902 WA0082

Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Ndugu Macrice Mbodo, akizungumza wakati wa makabidhiano ya Ofisi za PAPU kwa Katibu Mkuu Mpya wa Umoja huo Jijini Arusha.


 

IMG 20210902 WA0100

Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana Macrice Mbodo, akiskiliza jambo wakati wa makabidhiano ya Ofisi za PAPU kwa Katibu Mkuu Mpya wa Umoja huo Jijini Arusha.


IMG 20210902 WA0001

Katibu Mkuu wa Umoja ya Posta Afrika, (PAPU) Ndugu  Younous Djibrine (alieketi kushoto)  anayemaliza muda wake akibadilishana nyaraka Wakati wa Makabidhiano ya Ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya wa PAPU, Ndugu Sifundo Chief Moyo kwenye Ofisi za PAPU, Arusha, Tarehe 1 Septemba 2021. Wanaoshuhudia wa kwanza Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mpya wa PAPU Bi. Jessca  Uwera Sengooba, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile(Mb) (wa tatu kutoka kulia), Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Ndugu Macrice Mbodo(wa nne kulia), Waziri wa TEHAMA na Huduma za Posta Zimbabwe Ndugu, Jenfan Muswere,(wa pili kulia) na wa Kuanza Kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania( TCRA) Dkt. Emmanuel Manasseh.

 

 

IMG 20210902 WA0116

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb) akiwa kwenye ya pamoja na Waziri wa TEHAMA na huduma za Posta Zimbabwe Ndugu, Jenfan Muswere wakati wa tukio la makabidhiano ya Ofisi za Umoja huo, Jijini Arusha Tanzania. 

 

 

IMG 20210902 WA0011

Mkurugenzi Mkuu wa Posta Zimbabwe,  na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Ndugu, Isaac Gnamba Yao akizungumza wakati wa hafla hiyo.


 

IMG 20210902 WA0078

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania( TCRA) Dkt. Emmanuel Manasseh akisikiliza jambo wakati wa hafla hiyo.

 

 

IMG 20210902 WA0077

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile.

 IMG 20210902 WA0085

Katibu Mkuu anayemaliza muda wake, wa Umoja ya Posta Afrika, (PAPU) Ndugu  Younous Djibrine akizungumza wakati wa hafla hiyo.

 

IMG 20210902 WA0109

Waziri wa TEHAMA na huduma za Posta Nchini Zimbabwe, Ndugu, Jenfan Muswere akizungumza na Vyombo vya habari.

 

IMG 20210902 WA0121
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile(Mb) akizungumza na Vyombo vya habari.

 

 

IMG 20210902 WA0104

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.

 

IMG 20210902 WA0122

Katibu Mkuu anayemaliza muda wake, wa Umoja ya Posta Afrika(PAPU), Ndugu, Younous Djibrine (katikati mwenye nguo nyeupe) akikagua ujenzi jengo la Makao Makuu ya PAPU yaliyoko Jijini Arusha, Tanzania.

 

IMG 20210902 WA0112

Viongozi mbalimbali wakiwa Kwenye picha ya pamoja.

 

PICHA ZAIDI: 

IMG 20210902 WA0092

 

 

IMG 20210902 WA0091

 

 IMG 20210902 WA0025

 

 IMG 20210902 WA0018

 

 IMG 20210902 WA0113

 

 IMG 20210902 WA0024

 

IMG 20210902 WA0023

 

IMG 20210902 WA0114

Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!