BADO SIKU TATU!!!!

BADO SIKU TATU!!!

 3

 

Kaimu PostaMasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo anawakaribisha wote kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA (ONE STOP SERVICE CENTRES) Utakaofanyika tarehe O6/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya Posta kuu, jijini Dar es Salaam.

 

 

Mwananchi na Mdau wa Posta karibu tujumuike pamoja kuzindua tukio hili la kihistoria katika Nchi yetu!! 
 
 
 
Tunasema "KAZI IENDELEE" 
 
 
#POSTATWENZETU!
 
 
 
 
 
 
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!