BADO SIKU 2 !!!!

BADO SIKU 2 !!!!
 
 
 
IMG 20210904 WA0011
 
 
 
Shirika la Posta Tanzania chini ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari itazindua rasmi VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA PAMOJA (One Stop Centres).
 
 
Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika tarehe 6/9/2021, katika viwanja vya Posta Kuu, jijini Dar es Salaam.
 
 
Mgeni Rasmi wa Uzinduzi huo, ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb). 
 
 
Nyote Mnakaribishwa!!
 
#Postatwenzetu!!
 
2
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!