BADO SIKU MOJA!!!

BADO SIKU MOJA!!!

 1 majaliwa
 
 
 
Shirika la Posta Tanzania chini ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari itazindua rasmi VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA PAMOJA (One Stop Centres).
 
 
Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika kesho tarehe 6/9/2021, katika viwanja vya Posta Kuu, jijini Dar es Salaam.  
 
 
Mgeni rasmi katika Uzinduzi huo ni, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb).
 
 
Nyote mnakaribishwa!!!

 

 

 

 

Tanzania Census 2022

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!