NI LEO !!!!!

NI LEO!!! 


 Majaliwa

 

Shirika la Posta Tanzania chini ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, LEO TAREHE 6/9/2021 linazindua rasmi VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA PAMOJA (One Stop Centres).

 

Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika kwenye viwanja vya Posta Kuu, jijini Dar es Salaam huku Mgeni rasmi akiwa ni: 

 

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ,  MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB). 

 

 

Nyote Mtakaribishwa!!!

Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!