WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI, MHE. DKT ASHATU KIJAJI KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA DUKA LA POSTA MTANDAO.

WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI, MHE. DKT ASHATU KIJAJI(MB) KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA DUKA LA POSTA MTANDAO.

IMG 20211006 WA0000 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji(Mb), Leo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa duka la Posta la mtandao na maonesho ya huduma za Posta katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, kwenye Viwanja vya jakaya kikwete Jijini Dodoma.   
 
 
Wote Mnakaribishwa!!!
 
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!