KATIKA KUELEKEA SIKU YA POSTA DUNIANI, SHIRIKA LA POSTA MKOA WA DAR ES SALAAM LATOA MISAADA KWA HOSPITALI MBALIMBALI ZA MKOA HUO.

KATIKA KUELEKEA SIKU YA POSTA DUNIANI, SHIRIKA LA POSTA MKOA WA DAR ES SALAAM, LATOA MISAADA KWA HOSPITALI MBALIMBALI ZA MKOA HUO. 
 
 
IMG 20211007 WA0077
 
Meneja wa Posta Mkoa wa Dar e's Salaam, Ndugu Arubee Ngaruka, akizungumza wakati wa utoaji misaada hiyo. 
 
 
 
Tarehe 6 Oktoba 2021.
 
Kufuatia wiki ya maadhimishi ya siku ya Posta Duniani, Shirika la Posta Mkoa wa Dar es Salaam limetembelea na kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa kutoka katika hospitali za Muhimbili na Ocean Road.
 
Wagonjwa waliopata misaada hiyo ni pamoja na watoto wenye  matatizo mbalimbali na wagonjwa wa Saratani.
 
 Tukio hilo lililoongozwa na Meneja wa Posta Mkoa wa Dar  e's Salaam, Ndugu Arubee Ngaruka, ni kati ya matukio mbalimbali yanayofanyika wiki hii, ikiwa ni Shamrashamra za kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Posta Duniani ambapo hufanyika tarehe 8 na 9 Oktoba ya kila mwaka, huku mwaka huu yakifanyika kwa mara ya 52. 
 
 
Imetolewa na 
Ofisi ya Mawasiliano 
Shirika la Posta Tanzania. 
 
 
PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO: 
 
1 Rubee
 
 
 
 IMG 20211007 WA0084
 
 IMG 20211007 WA0075
 
 
IMG 20211007 WA0097
 
 
IMG 20211007 WA0054
 
 
IMG 20211007 WA0083
 
 
 IMG 20211007 WA0073
 
IMG 20211007 WA0081
 
 
IMG 20211007 WA0064
 
 
 
IMG 20211007 WA0093
 
 
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!