SHIRIKA LA POSTA MKOA WA DAR ES SALAAM LASHEHEREKEA WIKI YA POSTA NA HUDUMA KWA WATEJA.

SHIRIKA LA POSTA MKOA WA DAR ES SALAAM LASHEHEREKEA WIKI YA POSTA NA HUDUMA KWA WATEJA.

 
 IMG 20211008 WA0185
 
Mwakilishi wa Meneja wa Posta Mkoa wa Dar e's Salaam, Bi. Fadya Zam (kulia) akimlisha keki mteja (katikati) katika Kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja na Wiki ya Posta Duniani.
 
 
 
Tarehe 8 Oktoba 2021,
Katika kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja na siku ya Posta Duniani, Leo Shirika la Posta Mkoa wa Dar es Salaam lilikata keki kwa wateja kama ishara ya shukurani kwa kulichagua Shirika hilo kuwahudumia.
 
Tukio hilo limefanyika kwenye Ofisi za Posta Kuu ya Dar e's Salaam (GPO), huku likiongozwa na Mwakilishi wa Meneja wa Posta Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Fadya Zam. 
 
 
 
TAZAMA PICHA ZA TUKIO HILO: 
 
 IMG 20211008 WA0189
 
Mwakilishi kwa niaba ya Meneja wa Posta Mkoa wa Dar e's Salaam, Bi. Fadya Zam (kulia) akimlisha keki mteja (katikati) katika Kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja na Wiki ya Posta. 
 
 
 
IMG 20211008 WA0167
 
 
 
IMG 20211008 WA0191
 
 
IMG 20211008 WA0188
 
 
 IMG 20211008 WA0183
 
 IMG 20211008 WA0182
 
IMG 20211008 WA0180
 
IMG 20211008 WA0181 
 
IMG 20211008 WA0179
 
 
IMG 20211008 WA0177
 
 
IMG 20211008 WA0170
 
 
IMG 20211008 WA0171
 
 
IMG 20211008 WA0186
 
 
IMG 20211008 WA0175
 
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!