SHIRIKA LA POSTA MAKAO MAKUU LATOA MISAADA MBALIMBALI KWENYE HOSPITALI YA MWANANYAMALA.

SHIRIKA LA POSTA MAKAO MAKUU LATOA  MISAADA MBALIMBALI KWENYE HOSPITALI YA MWANANYAMALA. 
 
 
 
1 mashala
 
Mwakilishi wa Postamasta Mkuu, ndugu Mashala Lufunga (kulia) akikabidhi chandarua kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Ndani kutoka Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Pantaleo Joseph( kushoto). 
 
 
 
Katika kusherehekea maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, Shirika la Posta Makao Makuu, jana limetembelea na kutoa misaada mbalimbali kwenye Hospitali ya Mwananyamala, Jijini Dar es Salaam. 
 
Wagonjwa waliopata misaada hiyo ni wale wenye  matatizo mbalimbali ikiwemo magonjwa ya ndani, kutoka wodi ya wanaume katika hospitali hiyo. 
 
Zoezi hilo la utoaji misaada liliongozwa na Mwakilishi wa Postamasta Mkuu, Ndugu Mashala Lufunga.
 
 
 
PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO: 
 
IMG 20211009 WA0032
 
 
IMG 20211009 WA0034
 
 
IMG 20211009 WA0031
 
 
IMG 20211009 WA0029
 
 
 
IMG 20211009 WA0018
 
 
 
IMG 20211009 WA0015
 
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!