POSTA YASHIRIKI SHEREHE ZA KUHITIMISHA MBIO MAALUMU ZA MWENGE WA UHURU, WILAYANI CHATO, MKOA WA GEITA.

POSTA YASHIRIKI SHEREHE ZA KUHITIMISHA MBIO MAALUMU ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI CHATO, MKOANI GEITA.
 
 9 22
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kushoto) akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021 Luteni Josephine Paul (kulia).
 
 
 
Tarehe 14 Oktoba 2021
Na Mwandishi Wetu, Chato,
 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Ndugu Macrice Mbodo, ameshiriki kwenye Sherehe ya kuhitimisha Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Wilayani Chato Mkoa wa Geita.
 
Sherehe hizo zenye kauli mbiu isemayo "TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu, itumie kwa usahihi na uwajibikaji" zimefanyika kwenye uwanja wa Magufuli "Magufuli Stadium" huku Mgeni Rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 
Imetolewa na: 
Ofisi ya Mawasiliano 
Shirika la Posta Tanzania
 
 1 Macrice
 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Ndugu Macrice Mbodo(kulia aliyekaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja wa Posta Mkoa wa Mwanza, Ndugu James Dongwe (kushoto aliyekaa) pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Posta Mkoa wa Mwanza walioshiriki maonesho ya vijana kwenye uwanja wa Mizaina Wilayani Chato, Mkoani Geita. 
 
 
 
IMG 20211015 WA0014
 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Ndugu Macrice Mbodo(kushoto) akizungumza na Meneja wa Posta Mkoa wa Mwanza, Ndugu James Dongwe (kulia) kwenye Banda la Shirika hilo katika viwanja vya Mizaina Wilayani Chato, Mkoani Geita.
 
 
1 Macrice
 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Ndugu Macrice Mbodo(kulia) akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Posta Mwanza walioshiriki maonesho ya wiki ya vijana na kuzima Mwenge wa Uhuru kwenye viwanja vya Mizaina, Wilayani Chato Mkoani, Geita.
 
 
 
 IMG 20211015 WA0026
 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Ndugu Macrice Mbodo (mwenye shati ya kitenge) akiwa kwenye Sherehe za kuhitimisha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru na siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. 
 
 
 
10 16
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kushoto) akimkabidhi cheti Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021 Luteni Josephine Paul.
 
 IMG 20211015 WA0011
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa Sherehe ya kuhitimisha Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru na siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 11 10
 
Wakimbiza Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021. 
 
 
PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO: 
 IMG 20211015 WA0003
 
 
 
 
IMG 20211015 WA0020
 
 
 
 
IMG 20211015 WA0024
 
 
 
IMG 20211015 WA0005
 
 
 
IMG 20211015 WA0017
 
 
 
IMG 20211015 WA0016
 
 
 
 
IMG 20211015 WA0019
Top
X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!