Tanzania Census 2022

📍SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKABIDHIWA KIFIMBO CHA MALKIA (Queen's Baton Relay)📍

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKABIDHIWA KIFIMBO CHA MALKIA (Queen's Baton Relay)

Shirika la Posta Tanzania limekabidhiwa *Kifimbo cha Malkia (Queen's Baton Relay)* na Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) leo tarehe 15 Novemba 2021 jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusafirishwa na Shirika hilo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

Kifimbo hicho kinachoonesha ishara ya uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola kilipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 13 Novemba, 2021

 

224B389B 19B8 4754 A75C 2E746983756C

F0752A03 4F32 430E 843E B1ABFEDE386F

94091661 6E0A 49FC B2BF 6FD444ED0DEB

4B0E1810 6462 41D1 8383 48F3B3307B49

7BB2CD90 670A 428C 9511 190F6D017DEA

33C2A277 0D3E 4C2C 82A5 D55ECC2BB0AC

 

 

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!