Tanzania Census 2022

📍SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAPATA TUZO YA UDHAMINI WA KONGAMANO LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI📍

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAPATA TUZO YA UDHAMINI WA KONGAMANO LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI


📍
AICC, Arusha📍

Shirika la Posta Tanzania limepata tuzo na Cheti kama sehemu ya kutambua mchango wa Shirika kwa kuwa miongoni mwa wadhamini wa Kongamano la mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi, linaloendelea jijini Arusha

Anayekabidhi tuzo hiyo ni Mgeni Rasmi wa Kongamano hilo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba

Anayepokea Tuzo na Cheti hicho ni Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara wa Shirika la Posta nchini Bw. Constantine Kasese kwa niaba ya Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Macrice Mbodo

D06548AF DB25 4101 9616 40BB35F6AFFF

2A5A42D4 D8F6 422D AF0A 79896C54074C

738B5FE0 443C 46B4 AF12 ADC351E553E1

20E23E3F 6808 4BD7 BBB7 878D6CDD40C2

 

 

 

 

 

 

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!