KARIBU ROCKCITY MALL MWANZA KUPATA HUDUMA ZA POSTA.

KARIBU ROCKCITY MALL MWANZA KUPATA HUDUMA ZA POSTA.

 MWANZA

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Posta Mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye picha ya pamoja mbele ya banda la Shirika hilo wakati wa maonesho ya kimataifa ya wajasiriamali yanayoendelea Jijini Mwanza.

Shirika la Posta Tanzania limeshiriki kwenye maonesho ya 21 ya kimataifa ya wajasiriamali yanayoendelea kwenye viwanja vya Rock City Mall, Jijini Mwanza.

Maonesho hayo yalioanza tarehe 2 Disemba 2021, yanatarajiwa kumalizika tarehe 12 Disemba 2021.

Shirika linawakaribisha watu wote hasa kutoka Mkoa wa Mwanza na Mikoa ya pembezoni kufika kwenye viwanja vya Rock City Mall na ndani ya banda la Shirika la Posta kupata huduma zetu.

Karibu Posta tukuhudumie!!

 

Imetolewa na 

Ofisi ya Mawasiliano

Shirika la Posta Tanzania. 

 

 

MATUKIO MBALIMBALI: 

 IMG 20211207 WA0045

 

 IMG 20211207 WA0061

 

 IMG 20211207 WA0017

 

 IMG 20211207 WA0018

 

IMG 20211207 WA0065

IMG 20211207 WA0066

 

 

Tanzania Census 2022

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!