Tanzania Census 2022

POSTA YASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

POSTA YASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

 Yuleee

Na Mwandishi wetu, Dar e's Salaam 

Posta imeshiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, leo tarehe 8 machi 2022, ambapo maadhimisho hayo kimkoa yamefanyika katika kiwanja cha Uhuru (Uhuru Stadium) huku mgeni rasmi akiwa ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Hassan Abbas Rugwa ambaye amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar e's Salaam, Mhe. Amos Makalla.

Imetolewa na,
Ofisi ya Mawasiliano,
Shirika la Posta Tanzania.

 

PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO; 

IMG 20220309 WA0002

 

IMG 20220309 WA0003

 

IMG 20220309 WA0004

 

IMG 20220309 WA0005

 

IMG 20220309 WA0011

 

IMG 20220309 WA0006

 

 IMG 20220309 WA0007

 

 IMG 20220309 WA0008

 

 IMG 20220309 WA0009

 

 IMG 20220309 WA0010

 

 IMG 20220309 WA0000

 IMG 20220309 WA0001

 

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!