SHIRIKA LA POSTA LASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI.
SHIRIKA LA POSTA LASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, JIJINI ARUSHA.
Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ulioongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb).
Maadhimisho hayo yameanza tarehe 1 Mei katika hoteli ya Gran Melia Arusha, na yanatarajiwa kumalizika tarehe 4 Mei 2022.