SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA KAIMU POSTAMASTA MKUU WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA.
SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA KAIMU POSTAMASTA MKUU WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Postamasta Mkuu, Ndg. Macrice Mbodo kuhusiana na mageuzi ya kiutendaji yanayoendelea ndani ya Shirika la Posta Tanzania alipomtembelea leo Mei 13, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Imetolewa na
Ofisi ya Mawasiliano
Shirika la Posta Tanzania.