BUNGENI, DODOMA.
BUNGENI, DODOMA.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/23, Bungeni jijini Dodoma. Kulia ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika la Posta Aron Oye akimuwakilisha Postamasta Mkuu wa Shirika hilo.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mather (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania mara baada ya kuwasilishwa kwa Makadirio ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2022/23, Bungeni jijini Dodoma
.