ZIARA YA NAIBU WAZIRI WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI MKOANI MOROGORO.  

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI MKOANI MOROGORO.
 
 IMG 20220521 WA0009
 
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Kundo Mathew (kulia) akiteta jambo na Meneja wa Posta mkoani humo Bi. Magreth Mlyomi mara baada ya kikao hicho.
 
 
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew( Mb) amepokea rasmi taarifa ya utekelezaji wa Mfumo wa Anwani za Makazi tarehe 19 Mei, 2022, mkoani Morogoro
 
Shirika la Posta Tanzania kama mmoja wa wadau muhimu wa mfumo huo imeshiriki kikamilifu kikao hicho na liliwakilishwa na Meneja wa Shirika hilo mkoa wa Morogoro Bi. Magreth Mlyomi.
 
Imetolewa na 
Ofisi ya Mawasiliano 
Shirika la Posta Tanzania. 
 
 

Tanzania Census 2022

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!