PONGEZI
PONGEZI
Shirika la Posta Tanzania linatoa pongezi za dhati kwa Ndugu Macrice Daniel Mbodo kwa kuteuliwa kwake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta.
Kabla ya kuteuliwa kwake Ndugu Mbodo alikuwa ni Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika hilo.