KUPITIA ANWANI ZA MAKAZI POSTA TUNAKUFIKIA HADI ULIPO.
KUPITIA ANWANI ZA MAKAZI POSTA TUNAKUFIKIA HADI ULIPO.

Kupitia Anwani za makazi na postikodi, Posta tunakufikishia vifurushi na nyaraka zako popote pale ulipo.
Karibu Posta Tukuhudumie!!
#Anwanizamakazi
#postatanzania
#postatwenzetu
#twenzetukidigitali
#popoteulipo
#tunakufikia