HUDUMA YA MIZIGO MIKUBWA (POST CARGO) NDANI YA MBEYA.  

IMG 20220803 WA0017

HUDUMA YA MIZIGO MIKUBWA (POST CARGO) NDANI YA MBEYA.
 
Karibu katika banda la Shirika la Posta Tanzania, kwenye maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenanae) ili kujipatia maelezo na huduma mbalimbali ikiwemo huduma ya Usafirishaji wa mizigo mikubwa yaani (Post Cargo) pamoja na huduma ya kujisajili katika Duka letu Mtandao.
 
 
 
Kauli mbiu ya Nanenane Mwaka huu: Kilimo ni biashara shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi. 
 
Karibu katika banda letu la Shirika la Posta Tanzania katika viwanja vya John Mwakangale, Uyole, Mkoani Mbeya ufurahie huduma zetu
 
 
Imetolewa na 
Ofisi ya Mawasiliano 
Shirika la Posta Tanzania. 

 

 

 

 

 

Tanzania Census 2022

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!