SHIRIKA LA POSTA LASHAMIRI, MAONESHO YA NANENANE MBEYA!!!
Wateja mbalimbali wakipata huduma ndani ya Banda la Shirika la Posta katika maonesho ya Nanenane kwenye viwanja vya John Mwakangale, Uyole, Mbeya.
Maonesho hayo yameanza tarehe 1 Agosti na yanatarajiwa kumalizika tarehe 8 Agost 2022.
Tunawakaribisha wadau na wateja mbalimbali kutembelea banda la Shirika la Posta kujipatia huduma mbalimbali kwa haraka na ufanisi.
Karibu Posta Tukuhudumie !!
Posta Twenzetu Kidijitali !!!