POSTA NDANI YA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA, MARA

POSTA NDANI YA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA, MARA

22C838F6 A56C 4470 B7EA A51B7AAB1F2B

Shirika la Posta linawakaribisha Watanzania wote kutembelea Banda la Shirika la Posta lililopo katika maonesho ya kimataifa ya kibiashara ya Mara Business Expo, mjini Mara.

Maonesho hayo yaliyoanza tarehe 2 Septemba yanatarajiwa kumalizika tarehe 11 Septemba 2022, ambapo huduma zitolewazo na Shirika la Posta viwanjani hapo ni pamoja na Huduma za Usafirishaji wa haraka(EMS), huduma za Biashara Mtandao, Huduma Pamoja, Huduma za usafirishaji wa Mizigo mikubwa, pamoja na Posta kiganjani.

Karibu katika banda la Shirika la Posta Tukuhudumie.

Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano,
Shirika la Posta Tanzania,
05 Septemba, 2022.

Tanzania Census 2022

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!