RAIS WA TCCIA ATEMBELEA BANDA LA POSTA

RAIS WA TCCIA ATEMBELEA BANDA LA POSTA

4F0B3946 E8D1 43B9 B314 22A6391B6419

 

 

Na mwandishi wetu,Mara

Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Bw. Paul Koyi ametembelea Banda la Posta lililopo katika maonesho ya kimataifa ya kibiashara ya Mara Business Expo, mjini Mara

Aidha, Bw. Koyi alipowasili bandani hapo alipokelewa na Meneja Mkoa Mara Bi. Joyce Chirangi ambaye ndiye msimamizi Mkuu wa banda hilo, mjini humo

Bw. Koyi ameeleza kufurahishwa na ubunifu pamoja na maboresho ya huduma za Shirika la Posta yanayoendelea kufanyika ikiwemo huduma ya Posta Kiganjani yenye lengo la kurahisha upatikanaji way huduma za Posta kwa wananchi

 

Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano,
Shirika la Posta Tanzania,
05 Septemba, 2022.

Tanzania Census 2022

X

Tanzania Posts Corporation

You have no authorized to right click contents of TPC, All rights reserved!