JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Habari

WASHIDI MBALIMBALI


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akikabidhi zawadi kwa washindi wa kwanza katika mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa na Shirika la Posta Tanzania katika kuelekea Siku ya Posta Duniani iliyoadhimishwa tarehe 09 Oktoba, 2022.

1. Jaqueline Liana mshindi wa kwanza Uandishi wa Makala kutoka magazeti ya Uhuru na Mzalendo

 

2. Mgasa Robert mshindi wa kwanza Ubunifu wa TEHAMA kutoka COSTECH

3. Josephine Mlewa mshindi wa kwanza Uandishi wa Barua kutoka Shule ya Sekondary Msalato

4. Astarick Mcharo mshindi wa kwanza Ubunifu wa Graphics kutoka Dodoma

5. Oscar Senya mshindi wa kwanza Uandishi wa Insha kutoka Shule ya Sekondari Mawenzi

Rudi Juu

© SHIRIKA LA POSTA TANZANIA