coat
TANZANIA POSTS CORPORATION
LOGO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amteua Postamasta Mkuu

imageRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kupitia barua yake iliyotolewa tarehe 19 Machi 2019, amemteua Ndugu Hassan Abeid Mwang’ombe kuwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania.

For more details press the link bellow to open

Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Amteua Postamasta Mkuu Wa Shirika La Posta Tanzania