coat
TANZANIA POSTS CORPORATION
LOGO
TRACK & Trace

International

Domestic


TARRIFS

Domestic & International


POSTBOX APPLICATION

Online Application

August, 2019 image

Menejiment ya shirika la Posta Tanzania yapewa mafunzo maalum ya mbinu za uongozi .

image aziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isaack Kamwelwe (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu katibu mkuu wa mawasiliano Dr. Jim Yonazi( wapili kulia), Mwenyekiti wa bodi wa ya Wakurugenzi Shirika la Posta Tanzania Dr. Haroun Kondo (wapili kushoto), Postamasta mkuu ndugu Hassan Mwang’ombe, Mkufunzi wa semina hiyo ndugu John Samuel kutoka India na viongozi mbalimbali wa Shirika la Posta.

Menejiment ya shirika la Posta Tanzania yapewa mafunzo maalum ya mbinu za uongozi .

July, 2019 image

Posta mshindi wa kwanza maonesho ya 43 ya kimataifa ya biashara (SABASABA 2019)

image Tuzo ya Best Logistics and Transportation Exhibitor” ambayo Shirika la Posta Tanzania limeshinda kama mshindi wa kwanza katika maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba 2019.

Posta mshindi wa kwanza maonesho ya 43 ya kimataifa ya biashara (SABASABA 2019)

FEbruary, 2019 image

Kufunguliwa kwa maduka na vituo vya kubadilishia fedha za kigeni vya Shirika la Posta Tanzania

image Posta Masta mkuu Hassan Mwang’ombe akiwa na meneja mkuu wa uendeshaji biashara Mwanaisha Said na Meneja mkuu Rasilimali za shirika Macrice Mbodo wakizungumzia juu ya uanzishwaji wa maduka ya kubadilishia fedha ya Shirika la Posta Tanzania.

Kufunguliwa Kwa Maduka Na Vituo Vya Kubadilishia Fedha Za Kigeni Vya Shirika La Posta Tanzania

June, 2019 image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amteua Postamasta Mkuu

image Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kupitia barua yake iliyotolewa tarehe 19 Machi 2019, amemteua Ndugu Hassan Abeid Mwang’ombe kuwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania.

Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Amteua Postamasta Mkuu Wa Shirika La Posta Tanzania

FEbruary, 2019 image

UPU Regional Project on Digital transformation and Diversification of Postal Services in Africa

image The Start-up workshop on the Launch of the UPU Regional Project on Digital transformation and Diversification of Postal Services in Africa.

UPU Regional Project on Digital transformation and Diversification .pdf

July, 2018 image

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAPATA POSTAMASTA MKUU

image Hatimae Shirika la Posta Tanzania limeweza kupata Postamasta Mkuu baada ya nafasi hiyo kukaimiwa kwa muda mrefu SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAPATA POSTAMASTA MKUU