coat
TANZANIA POSTS CORPORATION
LOGO
WASHINDI WA SHINDANO LA KIMATAIFA LA UANDISHI WA BARUA KWA MWAKA 2019.

image Shirika la Posta Tanzania linapenda kuwataarifu wateja wake na wananchi kwa ujumla kuwa wafuatao ni washindi wa shindano la 48 la kimataifa la uandishi wa barua. Shirika la Posta Tanzania limekuwa likiendesha mashindano ya kimataifa ya uandishi wa barua yanayoratibiwa na Umoja wa Posta Duniani (UPU) wenye jumla ya nchi wanachama 192

For more details press the link bellow to open

WASHINDI WA SHINDANO LA KIMATAIFA LA UANDISHI WA BARUA KWA MWAKA 2019.